Habari Kali
Loading...

FAHAMU NJIA ZITAKAZO KUFANYA UDUMISHE UPENDO WAKO KWA MTU UNAYE MPENDA KWA DHATI..!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


Katika Maisha haya ya Mapenzi wapenzi wengi sana hujisahau baada ya kumaliza Stage ya Ushawishi na kujiona wamesha weza (wanajikuta wanabweteka na kusahau majukumu yake yeye kama mpenzi kwa mwenza wake)

Nataka leo mjue kuwa Mapenzi ni kama mapambano (Vita hakuna kulala wala likizo) na ukienda likizo tu jua kuna watu watakusaidia kitu ambacho mwisho wa siku utaona mnaachana.

Sababu za watu wengi kuachana

1. Kusahau majukumu ya kimapenzi kama kumsalimia kila mchana, au kama ulimzoesha kila siku lazima umkiss ukaacha ghafla, na mambo mengine...

2. Kupenda kumbembeleza na kumsifia kwa kila kitu ambacho anafanya na kikakupendeza na ghafla ukaacha

3. Kumsuport katika mambo yake na kumpa ushauri pale inapo hitajika, au kumsaidia kufanikisha mambop yake ghafla ukaacha

4. Kushindwa kumtimizia kikamilifu haki yake ya ndoa kiukamilifu..

5. Kama ulivyo kuwa ukimfuatilia ulikuwa ukimpa zawadi hata kama ni ndogo ukaacha

6. Kutumia uwongo wakati wa kumtongoza au kujitongozesha, kisha kwenye uhusiano ukweli ukajulikana

7. Kuficha siri zisizo na kichwa wala miguu, Mfano kupokea simu mbali na mpenzi wako

8. Kupenda kusolve matatizo kwa kugombana na si kusikilizana na kuombana misamaha

9. Kukataa kutoka out na mpenzi wako wakati huwa unatoka out
10. Kuwasifia Watu wa jinsia moja na mpenzi wako Mfano Mwanaume amsifie Mwanamke mbele ya mpenzi wake


Tafadhali ili kudumisha upendo wako Fanya Yafuatayo;

1. Mpende kwa dhati mpenzi wako na mpe chochote anacho kihitaji kama kiko ndani ya uwezo wako
    Kama kiko nje ya uwezo wako Muelekeze kwa utulivu kwa kutumia Lugha laini.

2. Penda kumsifia mpenzi wako na kama amekasirika usimsusie (Jifanye mjinga muombe msamaha kisha muendelee na mapenzi yenu "Mapenzi ni ujinga na upofu" atakaye kucheka hayajui mapenzi).

3. Nunua Zawadi kama mpenzi wako amekasirika na utumie Zawadi ile Chombo cha kuombea msamaha. (Jitahidi kutafuta kitu ambacho mpenzi wako alikuwa anatamani kuwa nacho kwa muda mrefu).

4. Usikae mbali na mpenzi wako na hata kama upo officin Hakikisha unampigia simu walau mara tatu na kuendelea kwa kutwa.

5. Usisahau kumkiss kwa kila kizuri atakacho kifanya (Ni ishara ya kumpenda na kumjali mpenzi wako).

6. Mbembeleze na umdekeze ajione mtoto mbele yako (maana yake mbembelezani) (mapenzi ni kizunguzungu).
-habarizetuleo team

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top