MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika
mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba
Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.
Inadaiwa kuwa siku ya tukio msichana huyo baada ya kuiba fedha hizo, aliruka ukuta wa nyumba na kutokomea kusikojulikana.
Mwajiri wa mfanyakazi huyo, Shujaa
Baruti alisema tukio hilo lilitokea Oktoba 2, mwaka huu saa 3 asubuhi,
kwenye Mtaa wa Zaire, Kata ya Endiamtu.
Baruti alimtaja mfanyakazi huyo wa ndani
kuwa ni Jacquelin Kimario (18) mwenyeji wa Wilaya ya Rombo mkoani
Kilimanjaro, ambaye aliiba fedha hizo na kuruka ukuta wa nyumba na
kukimbia na fedha hizo.
Alisema msichana huyo alipoiba fedha
hizo alitoroka kwa kupanda pikipiki ili akapande gari aina ya Toyota DCM
kuelekea jijini Arusha, lakini baadhi ya watu walimkamata na kumkuta
akiwa na fedha hizo.
“Mimi nimemsamehe na siwezi kumchukulia
hatua yoyote huyu msichana baada ya kuniibia fedha zangu ila nafanya
utaratibu wa kumrudisha nyumbani kwao Rombo, kwani siwezi kuishi na mtu
mwenye tabia hii,” alisema Baruti.
Hata hivyo, baadhi ya mashuhuda wa tukio
hilo, akiwemo balozi wa nyumba 10, Maulid Kimolo alisema ni jambo la
kushangaza kwa msichana kuiba Sh milioni 2.6 na wametaka jamii kuwa
makini na wafanyakazi wa ndani.
Naye msichana huyo Jacquelin alikiri
kuiba fedha hizo na kusema alipitiwa na shetani na kwamba alitarajia
kuishi vizuri na familia hiyo hivyo anaomba msamaha kwa kufanya tukio
hilo.
chanzo: Habarileo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >