Mapenzi ni matamu na mazuri pale unapopata mwenza halisi katika mazingira sahihi ila huwa machungu sana pale unapopata pasipo pako wengi hupenda kusema tumekusudiwa kuwa pamoja ila husahau pia inawezekana kuwa hawajakusudiwa kuwa pamoja hivyo hata waweke viungo gani kwenye mahusiano hayo ipo siku tu wataachana tu tena pale mmoja wao anapoakutana na aliekusuduwa kuwa nae.
Kwasababu ya mambo kama hayo wanawake wamekuwa wakiumia sana ukilinganisha na wanaume kwenye mahusiano ya kimapenzi, sababu nyingine ambazo huchangia ni kama hizi:
Matarajio yalipotiliza kiasi: ni vizuri kuwa na matarajio kwenye mahusiano yoyote kwani ili uhusiano ufanikiwe lazima kuwe na malengo ambayo huleta matarajio fulani katika mahusiano ila pia ni vizuri kuwa na matarajio yaliyo na kiasi yanayokupa mwanya wa kufikiri kuwa labda siku mkiachana itakuaje kwasababu ni vizuri kuangalia pande zote mbili za shilingi za kukusudiwa au kutokukusudiwa ila sasa mabinti wengi wamekuwa wakijiwekea matarajio ambayo huwazidi hata umri kwenye mahusiano yao ambayo huwafumba macho kutokuona mbele na hata kutokuona madhaifu ya mwenzi wake na humnyima nafasi ya kumchunguza vizuri mwenzi wake, kwa ujumla matarajio yasiyo na kiasi humfanya mtukuwa kipofu wa mapenzi asiyejua anaelekea wapi inapofika mahali hujikwa na kuanguka anguko baya ambalo humuumiza sana.
Sababu ya pili ni uitaji usio na kipimo kwa kingereza huitwa desperacy, ni kweli hufikia hatua ambayo mwanamke hukosa mwenza wa kumuoa au hukosa mwenza mwaminifu hivyo huwalazimu wanawake wengi kuingia kwenye mahusiano yoyote na yeyeote ajaye mbele yake bila kufikiri wala kuzingatia moyo wake wataka nini, yeye huingia kwenye mahusiano ili tu kufanikisha tamaa yake ya kuolewa au kuwa na mwezi. Hii husababisha wanawake wengi kuumia sana kwani hujikuta wamejiingiza kwenye matatizo mengine makubwa kuliko waliyokuwa nayo ya kimapenzi kwani wengine huokota waume za watu, magonjwa na wengine hukutana na wachezeaji amabo hufahamika kama players kwani hawakupata mda wa kumjua anaemkabidhi moyo wake.
Hii sababu ya tatu ni kwaajili ya wale wanaomini kuwa mwenzi wa kweli hutoka kwa Mungu, wanawake wengi wamekuwa wakiingia kwenye mapenzi na wenzi wasio sahihi kwani hasa wanawake wa mjini wamekuwa wakimmpendea mwanaume sura, mwili au pesa vitu ambayo huweza kupotea wakati wowote. Huwa hawazingatii kuwa mwenza wa kweli ni Yule tu atokae kwa Mungu alie na uzuri unaonzia ndani hadi nje ambae ataishi nae sawa sawa na inavyotakiwa mwenza kuishi na mpenziye kwa mapenzi ya ukweli na uaminifu na pia wanawake wengi hujikuta kwenye mahusiano bila ya kujua na mtu ambae kwa mapenzi ya Mungu alikusudiwa kwa ajili ya mtu mwingine na pale mtu Yule anavyokuja kumchukua Yule wake hujikuta kaachwa njia panda na huanza kulia na saa nyingine kumlalamikia Mungu bila ya Kufikiri kwamba ni mangapi kaepushiwa na ni nani bora zaidi anae kuja.
Tukutane tena kesho kwenye njia gani tutumie ili tuweze kuepukana na Maumivu ya mapenzi yasiyo na msingi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >