Habari Kali
Loading...

Huyu ndiye mgonjwa wa kwanza kuumwa Ebola kwenye nchi hii.!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Ebola BillboardSerikali ya Mali imethibitisha kuhusiana na taarifa za mtoto wa miaka 2 kukutwa na maambukizi ya Ebola akiwa ni mtu wa kwanza kupata maambukizi ya ugonjwa huo nchini humo tangu ugonjwa huo ulipozuka mwezi Machi 2014.
Taarifa kutoka mtandao wa the World Post zimesema, mtoto huyo amegundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa huo aliporejea nchini humo akitokea Guinea, moja ya nchi zilizoathiriwa zaidi na Ebola Afrika Magharibi.
Mali inakuwa nchi ya sita kutangaza kupatikana mgonjwa mwenye maambukizi ya Ebola katika ukanda wa Afrika Magharibi, lakini ndani ya siku 7 nchi za Senegal na Nigeria zimetangaza kutokuwa na mgonjwa mwenye maambukizi ya Ebola.
Ripoti iliyotolewa na WHO imeonesha vifo zaidi ya 4,900 vimetokea katika nchi za Sierra Leone, Guinea na Liberia.
Timu ya wanasayansi wa kimataifa imejipanga kutafiti uwezekano wa kutumia damu ya mtu aliyewahi kupona Ebola kama tiba ya ugonjwa huo.
Mali inapakana na nchi ya Guinea kwa upande wa Kusini Magharibi, lakini mtoto huyo anakuwa mgonjwa wa kwanza kuripotiwa kuwa na maambukizi ya Ebola nchini humo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top