Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limelaani kitendo cha askari wake wa kikosi cha Nyandoto 27 KJ Makoko ambaye inadaiwa alishindwa kutii maelekezo ya askari polisi wa Usalama Barabarani wilayani Tarime, Mara na kusabisha mapigano baina ya wanajeshi na polisi.
Katika tukio hilo ambalo lilitokea Oktoba Mosi, mwaka huu jioni katika
kituo cha mabasi mjini Tarime, raia mmoja na askari kadhaa wa Jeshi la
Polisi wakiongozwa na Mkuu wa Upelekezi wa Makosa ya Jinai (RCO) Kanda
maalum ya Tarime /Rorya na askari wawili wa JWTZ walijeruhiwa kwa
risasi.
Mkuu wa Brigedi 202 kundi la vikosi kanda ya Magharibi, Brigedia
Jenerali Mathew Mayela Sukambi, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa
Majeshi, alisema kitendo hicho cha aibu kimefanywa na askari binafsi na
siyo JWTZ.
Alisema askari huyo amekiuka kiapo chake, hivyo hastahili kuendelea
kuitwa mwanajeshi wa jeshi hilo na kwamba ameagiza sheria na taratibu
zichukuliwe dhidi yake pamoja na wote walioshiriki katika tukio hilo.
“Kitendo hicho kimefanywa na askari binafsi na siyo jeshi, taratibu za
jeshi zinafundisha na kueleza afisa na askari kuwa mtiifu na mwenye
nidhamu na kutakiwa kutii mamlaka na kufuata sheria za nchi kwa mujibu
wa katiba,” ilieleza sehemu ya tamko hilo la JWTZ.
Alisema kuwa chanzo cha fujo na vurugu hizo zilisabishwa na askari wa
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kumkamata askari wa
JWTZ kwa kosa la kuendesha pikipiki bila kuvaa kofia ngumu (Helment) na
baada ya majibishano askari huyo aliita wenzake waliokuwa jirani kwa
ajili ya msaada ndipo polisi waliitana kwa wingi na kuanza kutumia
nguvu kwa kutumia risasi za moto kuzima vurugu hizo.
Aliwataka maofisa na askari wa jeshi hilo kuzingatia viapo vyao, kutii
sheria na taratibu za nchi, mamlaka ya kiraia kwa mujibu wa katiba ya
Tanzania huku akiwaonya raia kuacha kushabikia matukio mabaya pindi
yanapotokea.
-Mpekuzi
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >