Habari Kali
Loading...

KISA PENZI LA RAY: JOHARI NA CHUCHU NUSU WAZICHAPE TENA!! SOMA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mastaa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans  ambao wamekuwa katika bifu kwa muda mrefu kutokana na uhusiano wa kimapenzi na Vincent Kigosi ‘Ray’, hivi karibuni nusu wazichape kwa mara nyingine baada ya kurushiana matusi mazito ya nguoni.
Staa wa filamu Bongo, Chuchu Hans.
Tukio  hilo lilijiri juzikati katika hoteli moja iliyopo Sinza jijini Dar.
Chanzo cha uhakika kilichokuwa eneo la tukio kinavujisha kwamba, Ray alifika katika hoteli hiyo akiwa katika teksi na aliandamana na Chuchu.
Inadaiwa Ray alifika hotelini hapo kwa ajili ya kuonana na mkurugenzi mwenza wa kampuni yao ya RJ, Johari, ambaye kwa wakati huo alikuwa akisimamia kambi ya projekti yao mpya.
Baada ya Ray kushuka kwenye teksi na kuingia ndani ya hoteli hiyo huku Chuchu naye akishuka kwenye na kusimama nje akimwangalia mwandani wake anavyomsogelea Johari ambaye siku za nyuma alikuwa ndiye mwandani wake.
Kitendo cha Chuchu kutokeza kuonesha alikuwa ameandamana na mkali huyo wa filamu kilimchukiza Johari ambaye kwa sauti iliyosikika vyema, alimuuliza Ray kwa nini alikwenda akiwa ameongozana na ‘malaya’ wake.
Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’.
“Matusi yale yalimkera sana Chuchu, naye aliamua kumrudishia hali iliyosababisha kutokea kwa tafrani kubwa kwani watu walianza kujazana na kuwazuia wasichapane,” kilisema chanzo chetu.
Baada ya habari hii kutua mezani, mapaparazi wetu waliingia kazini ili kuujua ukweli, mtu wa kwanza kuzungumza naye ni Johari ambaye siku za nyuma aliwahi kuzichapa na mpinzani wake huyo wakati akilitetea penzi lake lililokuwa likiyumba.
Johari alikiri kutokea kwa tukio hilo na kudai kuwa mwigizaji huyo alikwenda kambini kwake kufanya fujo ambazo hata hivyo alishindwa kufafanua.
Kwa upande wake, Chuchu alipoulizwa alisema: “Nimemvumilia sana Johari, amekuwa akinitukana kila kukicha nanyamaza, sasa nimechoka na kibaya zaidi siku hiyo alinitukania mama yangu, nimekuwa nikimvumilia kwa sababu alikuwa akinitukana mimi, sasa kumuingiza mama kwenye ugomvi wetu siwezi kumvumilia kamwe,” alisema Chuchu. 

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top