Staa wa Filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amemlilia rafiki yake kipenzi Sherry Magari aliyefariki dunia hivi karibuni na kusema hana la kufanya zaidi ya kumuombea.
Akizungumza na Ijumaa juzi, Mainda alisema alikuwa amejipanga kwenda kumuona jana ‘Alhamisi’ baada ya kusikia kwamba hali yake haikuwa nzuri lakini ikawa imeshindikana kwani kabla ya safari alipata taarifa za kifo chake.
“Nimeumia sana tena sana, yaani dah! Amekwenda rafiki yangu, nilitamani sana kumuona akiwa hai tuongee lakini Mungu akaamua kutenda kazi yake,” alisema Mainda.
Sherry aliugua ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu na kufikwa na mauti alipokuwa amelazwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >