MMH! Majanga! Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Juliet Gaison Komba (37), mkazi wa Mbagala Kuu, Temeke, Dar hivi karibuni amekutwa na mauti akiwa Gesti ya Kigoma, Mbagala Charambe, Dar.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, mwanamke huyo ambaye mumewe ni kigogo mwenye cheo cha mkurugenzi wa kampuni moja ya usafirishaji jijini Dar, alikutwa na mauti baada ya kuingia kwenye gesti hiyo na mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni hawara yake licha ya kuwa na mume.
Mmoja wa wahudumu wa gesti hiyo, Nickson John alisema siku ya tukio, mwanamke huyo na jamaa yake aliyevaa kofia maarufu kwa jina la kapelo, walifika kwenye gesti hiyo saa saba mchana.
Alisema: “Waliulizia chumba chao cha siku zote maana walikuwa wakifika kila wakati, nikawaambia kiko wazi.
Alisema: “Waliulizia chumba chao cha siku zote maana walikuwa wakifika kila wakati, nikawaambia kiko wazi.
“Nilifuatana na mwanaume hadi kwenye chumba hicho namba 5, alilipia kisha kuzama na huyo mwanamke.“Saa kumi mwanaume alitoka, akaniambia anakwenda kutafuta chakula endapo mwanamke wake atahitaji kinywaji nimpe.
“Ilipofika saa kumi na mbili jioni, nilianza kuingiwa na hofu kwani yule mwanaume alikuwa hajarudi na mwanamke hakutoka kuhitaji kinywaji.“Niliamua kwenda kugonga mlango lakini hakuitika. Niliendelea kukaa kusubiri kama yule mwanaume atarudi lakini wapi!
“Saa moja usiku nikiwa sijawaona, nikaenda kugonga kwa nguvu huku nikiita bila mafanikio, bosi wangu aliyelala chumba kingine alinisikia akaja.“Nilimweleza tatizo naye aligonga hakuna aliyeitika, tukazunguka dirishani kuchungulia, tukamwona mwanamke amelala kitandani lakini tulipata wasiwasi huenda alipatwa na tatizo.
“Bosi wangu aliwapigia simu polisi, walifika na kuvunja mlango ambapo walimkuta mwanamke amekufa huku akitokwa damu mdomoni, waliuchukua mwili hadi Hospitali ya Wilaya ya Temeke kwa uchunguzi.”
Akaendelea: “Si mara yao ya kwanza kuja hapa, kwa mwezi waliweza kuja hata mara tano. Yule mwanaume hadi namba yake ya simu alinipa, ninayo.”
Kwa upande wake, Deusi Komba ambaye ni mume wa marehemu alipoulizwa kuhusu tukio hilo alikiri kutokea.Alisema asubuhi ya siku hiyo alimuacha marehemu nyumbani na kwamba hakuwa na mpango wa kutoka lakini aliporudi jioni hakumkuta na simu yake kila alipoipiga ilikuwa ikiita bila kupokelewa.
Alisema ilibidi aende Kituo cha Polisi Maturubai kutoa taarifa na ndipo alipoelezwa kuwa, mkewe huyo anayemsaka amekutwa amekufa gesti.Marehemu huyo alizikwa Jumanne iliyopita katika Makaburi ya Mbagala Kuu, Dar na ameacha watoto watatu.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, (pichani) alipoulizwa alikiri kutokea kwa tukio na kusema uchunguzi unaendelea.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >