TAFRANI ilizuka usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikihusisha wanandoa baada ya mke aliyekuwa amempeleka mtoto kutibiwa, kumbamba mumewe akimleta anayedaiwa kuwa kimada pia kupata matibabu hospitalini hapo.
Mwandishi ambaye alikuwa hospitalini hapo saa 5 usiku, alishuhudia mke huyo anayedaiwa kuwa wa ndoa akimpiga ngumi ‘nyumba ndogo’ kabla ya kumvamia mumewe na pia kumpiga ngumi akitaka amweleze mwanamke aliye naye ni nani.
Mwanamke huyo ambaye jina lake halikupatikana, alikuwa na mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitatu ambaye alidai alizidiwa usiku bila mumewe kuwepo.
Akisimulia watu waliokusanyika kushuhudia tukio hilo, mwanamke huyo aliyejitambulisha kuwa mkazi wa Mwananyamala, alidai baada ya mwanawe kuzidiwa, alimpigia mumewe ambaye hakupokea simu, akitaka kumfahamisha ugonjwa arudi nyumbani wasaidiane kumpeleka hospitali.
“Nilipoona simu imezimwa kabisa,
nikaamua kuchukua pikipiki haraka nikampeleka mtoto zahanati na
wakaniambia nimlete hapa (Mwananyamala),” alisema.
Aliendelea kusimulia, “nimefika
nimefungua jalada, nimekaa kusubiri kumwona daktari, nashangaa namwona
mwanaume anaingia huku amemkumbatia mwanamke aliyekuwa hawezi kutembea
akigugumia kama mgonjwa mahututi,” alieleza mama huyo anayekadiriwa kuwa
na umri wa miaka 28.
Baada ya kumwona mumewe akiwa na
mwanamke huyo amemwegemea kifuani, nao wakisubiri utaratibu wa kumwona
daktari, mke huyo halali alinyanyuka taratibu na kuomba ashikiwe mtoto.
Huku akimkaba mumewe, mwanamke huyo
alisikika akisema, “Nataka uniambie huyu ni nani, yaani mimi nateseka na
mtoto nyumbani, anaumwa, nakutafuta usiku huu sikupati, ukanizimia na
simu, kumbe uko kwa malaya wako, niambie ni nani huyu la sivyo
utanitambua.”
Watu waliokuwepo waliingilia kati na kumshika huyo mwanamke wa ndoa wakimtaka apunguze hasira.
Wakati akimng’ang’ania mumewe huku
akitaka ufafanuzi, mwanamke aliyedaiwa kuwa kimada, ambaye awali alifika
hospitalini hapo akiwa ameshikiliwa kwa kutojiweza kutokana na ugonjwa,
alitumia nafasi hiyo kutimua mbio na kuondoka katika eneo la hospitali
asijulikane alikoelekea.
Baadhi ya madaktari na wauguzi waliokuwa
zamu na watu waliokuwepo hospitalini hapo, waliwaongoza wanandoa hao
kutoka nje kwa kile kilichosadikiwa ni kwenda kuzungumza na kumaliza
tofauti zao.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >