Unaambiwa mwaka 2009 nchi ya Netherlands iliamua kufunga magereza yake tisa kutokana na upungufu wa uhalifu nchini humo ambapo mpaka mwaka 2013 jumla yamagereza 19 yalifungwa kutokana na kuzidi kupungua kwa uhalifu nchini humo.
Kingine cha kufahamu ni kwamba watuhumiwa hupewa nafasi ya kuchagua adhabu ya kwenda jela au kutokwenda jela lakini mienendo yao hufuatiliwa kwa kuangaliwa simu zao, computer, magari n.k yaani chochote unachofanya kinaonekana (Electronic tagging).
Ambapo asilimia kubwa ya watuhumiwa hao huchagua adhabu hiyo ya Electronic taggingna kurudi uraiani kufanya kazi kama kawaida.
Serikali ya Nerthelands inasema kufungwa kwa magereza haya kumesaidia kuokoa dola za Kimarekani elfu hamsini ($50,000) ambazo kwa Tanzania ni zaidi milioni 80 ambapo watuhumiwa wenye makosa madogo yanayofanyika kwenye kata mbalimbali na nchi nzima hupewa adhabu ndogondogo kama kufanya kazi za kijamii.
Sasa hivi nchi hii ambayo rekodi za mwaka 2013 zilionyesha ina watu milioni 16.8 inajaribu kupunguza ukiukaji wa amri na uvunjaji wa sheria kwa kuwapeleka watuhumiwa kwenye vituo maalum vya kurekebisha tabia. (Rehabilitation Centers).
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >