Professor Jay amesema video za nyimbo zake mbili ‘Kipi Sijasikia’ na ‘Tatu Chafu’ alizoziachia mwezi uliopita zimekuwa na ushindani mkubwa, kiasi cha kuwagawa mashabiki ambao wapo waliopenda zaidi ‘Tatu Chafu’ na wengine ‘Kipi Sijasikia’.
“Kitu kikubwa ambacho kimenionesha ni kwamba hizi video zinachuana sana yaani zimewaganwanya watu” Professor Jay amefunguka.
“Hizi video zimewagawanya watu kwa maana kwamba kuna watu wanaupenda sana wimbo wa ‘Kipi Sijasikia’ na video yake na maudhui na madhari ilivyo wanaipenda sana, hawa watu ni wale wa watu mtaani na watu wa maisha ya kawaida”.Aliendelea.
“Hizi video zimewagawanya watu kwa maana kwamba kuna watu wanaupenda sana wimbo wa ‘Kipi Sijasikia’ na video yake na maudhui na madhari ilivyo wanaipenda sana, hawa watu ni wale wa watu mtaani na watu wa maisha ya kawaida”.Aliendelea.
“Lakini kwa wale watu ambao wanataka Professor Jay aende kwenye
level zingine so International wamei feel sana ile ‘Tatu Chafu’. Kwa
hiyo kuna watu wamegawanyika ‘Tatu Chafu’ imependwa sana na watu wa
kisasa kwa sababu kihistoria inaonesha watu wa Hip Hop mara nyingi
tunafanya video cheap, lakini ‘Tatu Chafu’ imedhihirisha kwamba tunaweza
tukafanya video za quality za kiwango cha juu na ‘Tatu Chafu’ imekuwa
moja ya video za aina hiyo”.
Hadi sasa ‘Kipi Sijaskia’ iliyowekwa Youtube September 15 ndio
inayoongoza kwa kutazamwa zaidi, ina views 63,945 huku ‘Tatu Chafu’
iliyowekwa September 14 imetazamwa mara 27,513.
Kwenye upande wa vituo vya TV Joseph Haule amekiri kuwa kwa TV za
hapa nyumbani, ‘Tatu Chafu’ ndio inayochezwa zaidi huku ‘Kipi Sijasikia’
ikiwa inachezwa zaidi kwenye TV za nje.
“kuna station nyingine wameanza kuicheza ‘Kipi sijasikia’ kwanza
kama Kenya, Congo, Uganda na wapi Kipi Sijasikia wameicheza sana (….)
Kwa nje ya Tanzania ‘Kipi Sijasikia’ imechezwa sana kuliko ‘Tatu
Chafu’, lakini kwenye local stations hapa navyoona watu wanacheza sana
‘Tatu Chafu’ kuliko ‘Kipi Sijaskia’, so inakuwa ni vice versa, ndo maana
nikasema inanipa wakati mgumu sana kujua ipi inaenda zaidi kuzidi
kuliko nyenzake”.
Alimaliza kwa kusema kuwa malengo yake ya kuachia video mbili yametimia.
“Nia yangu ya kuziachia mbili ni kujishindanisha mimi mwenyewe
pia na madirector wangu, kwamba tuone kazi gani inapokelewa vizuri
lakini nia pia ilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa watu wote, ukiangalia
Tatu Chafu ni so Hip Hop, kwahiyo kuna watu wengine hawafatilii sana Hip
Hop, lakini Kipi Sijasikia is so touchy ipo sana kwenye jamii…madhumuni
yangu yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana”.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >