Ajali kubwa ya moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, imetokea na kuteketeza bweni la wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mtakatifu Petro iliyopo eneo la Iwanzari, Tabora pamoja na vitu vyote vilivyokuwemo ndani ya bweni hilo.
ITV wameripoti kuhusiana na tukio hilo,
ambapo moto huo umezuka ghafla wakati wanafunzi wakiwa katika ibada na
hata baada ya taarifa kuwafikia askari wa kikosi cha zimamoto hawakutoa
ushirikiano wowote kwa madai kuwa magari ya kuzima moto ni mabovu
kitendo kilichowasikitisha mkuu wa shule hiyo Simon Kyala pamoja na
askofu wa kanisa hilo Mhashamu Elias Chakupewa.
Meya wa Tabora, Gulam Dewji na mratibu
mwandamizi mkuu wa kikosi cha zimamoto Tabora, Kondo Mwamed wamesema
manispaa ina gari moja na liko katika matengenezo kwa takribani miezi 2.
Thamani ya vitu vilivyoteketea bado
haijafahamika japo mkuu wa shule amekiri kuwa wanafunzi hao wameathiriwa
na janga hilo kipindi ambacho wanakaribia kuanza mitihani.
via: mpekuzi
via: mpekuzi
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >