Baada ya wale polisi traffic waliojipiga picha wakiwa katika pozi ya mahaba wakati wakiwa kazini kusambaa sana mtandaoni , picha nyingi za vituko za walinda usalama wetu zimekuwa zikisambazwa mtandaoni kuonyesha namna gani polisi wetu wanavyoacha kazi zao na kufanya vituko.
Tazama picha hii ya polisi huyu akiwa ameshika chupa ya pombe wakati bado akiwa kazini . Siku zote tumekuwa tukilalamika kuhusu ajari za barabarani, lakini kumbe polisi wenyewe ni chanzo cha matatizo hayo, Mfano , huyu polisi baada ya kulewa ataweza kweli kuchunguza gari na kujua kama lina matatizo au la ? ataweza kumkamata dereva ambaye nae anaendesha gari huku akiwa amelewa?
Ni vema serikali na mamlaka zingine zinazohusika kuhakikisha zinaajiri polisi ambao wataafuta viapo vya kazi zao, na wale wanaokwenda kinyume na sheria za kazi zao wachukuliwe hatua kali mara moja.
Ni vema serikali na mamlaka zingine zinazohusika kuhakikisha zinaajiri polisi ambao wataafuta viapo vya kazi zao, na wale wanaokwenda kinyume na sheria za kazi zao wachukuliwe hatua kali mara moja.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >