WASHITAKIWA
wanaokabiliwa na mashitaka ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao
ya kijamii, wamepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali ambapo
walidaiwa kumlawiti mwanaume mwenzao na kumpiga picha kwa madai ya
kutaka kulipwa Sh milioni moja.
Washitakiwa hao ni Erick Kasira (39) na Juma Richard (31) ambao wanadaiwa kulawiti sanjari na kupiga picha za tukio hilo.
Wakili
wa Serikali Mutalemwa Kishenyi alidai mbele ya Hakimu Mfawidhi Said
Mkasiwa kwamba Agosti 23 mwaka huu, maeneo ya Maembe Bar & Guest
House, iliyopo Kiwalani Yombo walimkuta Kambi akiwa na Sanifa Bakari
katika chumba namba sita ambapo walimshutumu kuwa wana mahusiano baada
ya mshitakiwa mmoja kudai kwamba ni mke wake na kwamba wamemfumania.
Washitakiwa
hao walimtaka Kambi kutoa kila alichonacho na kuwakabidhi kompyuta aina
ya HP yenye thamani ya Sh 350,000, fedha taslimu Sh 100,000, simu aina
ya Tecno yenye thamani ya Sh 350,000 na viatu.
Walidaiwa
baada ya kumkuta Kambi akiwa na Sanifa kwa madai ya kwamba wana
mahusiano, walimlawiti kinyume na maumbile kisha walimpiga picha huku
wakiwa uchi.
-Mpekuzi
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >