Habari Kali
Loading...

Watu 40 wakamatwa mkoani Katavi baada ya kukutwa wakinywa pombe saa za kazi za ujenzi wa taifa!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


WAKAZI 40 wa Tarafa ya Inyonga, Makao Makuu ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamekamatwa baada ya kukutwa wakinywa pombe asubuhi vilabuni na kwenye maduka yanayouza aina mbalimbali ya vinywaji.
 
Wakazi hao ni pamoja na wanywaji wenyewe na wauzaji wa pombe hizo wakiwemo pia wachezaji wa mchezo wa pool ambapo walikiuka amri ya Mkuu wa Wilaya, Kanali Ngelela Lubinga ya kutocheza pool au kunywa pombe hadi baada ya saa za kazi za ujenzi wa taifa, yaani kuanzia saa 10 jioni.
 
Hivi karibuni, Kanali Lubinga aliamuru wakamatwe baada ya kubainika kukiuka amri yake inayowakataza watu kunywa pombe wala kucheza mchezo wa pool asubuhi.
 
Aliamuru wanamgambo wanaofanya mafunzo wawasake na kuwakamata watu hao na aliiamuru waadhibiwe kwa kuchimba vyoo, kuzibua mitaro na mashimbo ya kutupia taka katika mji huo wa Inyonga kwa siku tatu mfululizo.
 
Kwa mujibu wa Kanali Lubinga operesheni hiyo ni endelevu na yeyote atakayekamatwa akikiuka amri yake hiyo adhabu yake ni kufanya usafi wa mji mzima wa Inyonga.
 
“Tabia hii ya unywaji wa pombe na kucheza pool asubuhi haikubaliki kabisa, lazima watu wajenge tabia ya kujituma kufanya shughuli zao za maendeleo badala ya kuendekeza kunywa pombe na starehe asubuhi,’’ alisisitiza.
Via: Mpekuzi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top