STAA wa filamu Bongo, Wema Isaack Sepetu ameshindwa kujibu mapigo ya mwandani wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutompa zawadi yoyote katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Jubilee uliopo Posta jijini Dar.
Kutokana na msanii Diamond kumpa zawadi ya gari aina ya Nissan Murano mwandani wake huyo katika siku yake ya kuzaliwa japo hakuwepo na kumuachia mama yake amkabidhi, mashabiki wengi walikuwa na kiu ya kutaka kujua ni kipi ambacho Wema angemzawadia mpenzi wake katika siku hiyo ili kudhihirisha upendo wake ikiwemo kwa mashabiki kama alivyofanya Diamond.
Mpaka shughuli inaisha watu mbalimbali walijitokeza kutoa zawadi zao huku wengine wakimmwagia noti pamoja na menejimenti yake kumzawadia gari aina ya BMW X6 lakini mwanadada huyo alishindwa kuonyesha makeke yake mpaka mwisho wa shughuli na kubaki akijilaumu;
“Hee halafu sijui kwa nini mpaka shughuli imeisha eti sijatoka kumpa zawadi baby wangu, sasa mbona hakuna aliyenikumbusha?” alisema Wema mwisho wa shughuli hiyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >