Tukio la ajali DAR, hii imetokea leo March 27 2015 eneo la Ilala karibu na Machinga Complex.. Inahusisha treni na lori la mizigo.
Askari wa Shirika la Reli, ASP Mohamed Abdallah
ambaye alikuwepo eneo hilo muda mfupi baada ya ajali hiyo kutokea
amesema ajali imetokana na uzembe wa dereva wa lori ambaye alitaka
kuvuka reli wakati kukiwa na ishara iliyoonesha treni hiyo inavuka.
Askari huyo amesema watu wawili wamejeruhiwa katika ajali hiyo na kupelekwa Hospitali ya Amana kwa ajili ya matibabu.
Mashuhuda wanasema wamemuona dereva wa lori hilo akikimbia huku anachechemea baada ya ajali hiyo kutokea.
Lori hilo lilitokea njia ya Chang’ombe kuelekea Ilala, treni ilitokea upande wa Buguruni kuelekea Stesheni.
N
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >