Watu
wengi wamekuwa wakilalamikia teknolojia na ufundi wa simu nyingi za
kisasa wengi wakiwaponda wabunifu kwa misingi ya kuwaasilimia kubwa ya
simu za mfumo wa 3G na zaidi zinatengezwa kwa plastiki.
Sasa basi,bwana mmoja mbunifu amekuja na jibu ya kutengeza simu kutokana na ''Nyasi'' .
Bwana Sean Miles amezindua simu itakayokuwa ya kipekee.
Simu hiyo ndiyo ya kwanza kuwahi kutengenezwa kwa asilimia 100% kutokana na bidhaa hii.
Gamba la juu la simu hiyo limeundwa kwa bidhaa inayotokana na nyasi maalum iliyochanganywa na kemikali fulani na kiungo (resin)
"mchanganyiko huu maalum unatoa sura kama vile (carbon) alisema Miles.
Mfumo huo unachanganywa na kumbwa kwa njia itakayoruhusu watengezaji wa simu kuumba gamba la simu inayotokana na nyasi.
Bwana
Miles alikuwa amepewa kandarasi na kampuni ya simu ya O2 kutafuta mbinu
ya kutumia upya bidhaa ambazo zimekosa wateja ama zimezeeka.
Hata
hivyo kitengo cha ubunifu kilitamaushwa na ubunifu wake na sasa
kimeanza mikakati ya kutathmini uwezo wa kampuni hiyo kuunda kwa wingi
magamba ya simu.
Kufikia sasa asilimia 25% ya simu nzee nchini uingereza zinarekebishwa na kutumiwa upya.
Via>>BBC
Via>>BBC
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >