Fadhili Nolidondi ‘Difenda’ enzi za uhai wake.
MSANII wa komedi aliyejipatia sifa katika filamu za Mchawi Pesa,
Yamini, Saa Mbovu, Kikaango na nyingine nyingi, Fadhili Nolidondi
‘Difenda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya
Taifa, Muhimbili jijini Dar.Katibu wa Chama cha Komedi Tanzania, Neto Nazaleth amethibitisha msiba huo na kusema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na figo, ini pamoja na mapafu.
“Awali marehemu alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Amana (Ilala, jijini Dar) baada ya wiki moja hali yake haikuwa nzuri na kuhamishiwa Muhimbili ambapo kifo kimemkuta huko. Marehemu kaacha mke na watoto wawili,” alisema Nazaleth.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni, katika Makaburi ya Mwinyimkuu yaliopo Magomeni, jijini Dar.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >