Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)
Jeshi
la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Polisi Mkoa
wa Pwani linaendesha oparesheni kali ya aina yake ya kuwasaka majambazi
waliowavamia, kuwaua askari wawili na kumjeruhi mmoja na kisha kupora
bunduki aina ya SMG.
Tukio
hilo limetokea tarehe 30/03/2015 majira ya saa mbili usiku huko
barabara ya Kilwa Kata ya Vikindu Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Katika tukio hilo majambazI wapatao 8 hadi 10 wakiwa na mapanga na
silaha zingine waliwavamia ghafla askari watatu waliokuwa kazini katika
eneo la kizuizi cha Polisi kilichopo kijiji cha Kipara mpakani Kata ya
Vikindu Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani. Majambazi hao waliwashambulia
ghafla askari hao kisha kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30
ndani ya magazine na kutokomea kusikojulikana.
Majina ya askari wa Wilaya ya Kipolisi ya Mbagala waliouawa ni kama ifuatavyo:
- D.2865 SGT FRANCIS,
- E.177 CPL MICHAEL,
Askari
mwenye namba D5573 D/SGT ALLY amejeruhiwa kwa risasi kwenye paja la
mguu wa kushoto na amelazwa katika hospitali ya Temeke kwa matibabu.
Askari huyu kabla ya kujeruhiwa alipambana vikali na majambazi hayo kwa
kutumia bunduki aliyokuwa nayo aina ya SMG ambayo walishindwa kumpora
hivyo wakatokomea kuelekea porila Vikindu.
Katika
oparesheni hiyo, nguvu na mbinu zote za kipolisi zitatumika ambapo
vikosi vya Dar es Salaam na Pwani vilianza kufanya oparesheni hiyo mara
baada ya tukio ili kuhakikisha kwamba majambazi hao wanapatikana haraka
iwezekanavyo.
Pamoja
na oparesheni hiyo kali inayoendelea, Jeshi la Polisi linachunguza ili
kubaini kama tukio hili linaashiria vitendo vya ugaidi au ni ujambazi wa
kutumia silaha.
Natoa
wito kwa wananchi wa mikoa ya Pwani na Dar es Salaam kupitia (dhana ya
polisi jamii) kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa hali na mali kwa kutoa
taarifa sahihi.
IMETOLEWA NA:
S.H. KOVA
KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM
DAR ES SALAM
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >