Maziko
ya Mwanzilishi na aliyewahi kuwa Meneja wa Kundi la Tip Top Connection,
Abdul Bonge yakifanyika leo kijijini kwao Mkuyuni, Matombo mkoani
Morogoro.
Wanamuziki mbalimbali wakiwemo Shetta, Diamond Platnumz, Profesa J, Quick Racka wakishiriki maziko ya Abdul Bonge.
Mwanamuziki Diamond Platnumz akishiriki swala ya kumuombea marehemu.Mwili wa Abdul Bonge ukitolewa ndani kupelekwa eneo la kuombewa.
Mdogo
wa marehemu Abdul Bonge ambaye ni Meneja wa Mwanamuziki Diamond
Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’ akilia wa simanzi juu ya jeneza lenye
mwili wa mdogo wake.
Wanamuziki
Shilole (kushoto), Madee (katikati) wakiwa na Meneja wa TMK Wanaume
Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella wakati wa mazishi ya Abdul
Bonge leo mkoani Morogoro.
HATIMAYE
mdau wa muziki nchini ambaye ni Mwanzilishi na aliyewahi kuwa Meneja wa
Kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale 'Abdul Bonge'
amezikwa leo Kijiji cha Mkuyuni kilichopo Matombo mkoani Morogoro.
Mamia
ya waombolezaji wakiwemo wanamuziki Diamond Platnumz, Dully Sykes,
Shetta, Shilole, Dogo Janja, Profesa J, Quick Racka na wengineo
wameshiriki mazishi ya Abdul Bonge.
Abdul
Bonge alifariki dunia jioni ya Machi 28 mwaka huu baada ya kuanguka
alipokwenda kusuluhisha ugomvi wa rafiki yake maeneo ya Magomeni-Kagera
jijini Dar es Salaam.
Mtandao huu unatoa pole kwa wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Abdul Bonge kwa msiba huu uliotokea.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ABDUL BONGE MAHALI PEMA PEPONI. AMEN.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >