Habari Kali
Loading...

BREAKING NEWS: AJALI YA LORI YAUA WATU 7 HUKO MKOANI MANYARA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Watu saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang’ mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba wakulima waliokuwa wakitokea shambani kuvuna maharage katika kijiji cha Getasam.
 
Kamanda Fuime alisema kwamba chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa fuso ambapo lilisababisha kupasuka kwa gurudumu la mbele ndipo lilipoteza mwelekeo na kuligonga pawatila na kusababisha watu sita kufa papo hapo na mmoja kupoteza maisha katika Hospitali ya Dareda wakati akipatiwa matibabu.
 
Aliwataja waliokufa ni Uttu (18) Mkazi wa Endasaki, Lazaro Daniel (30) mkazi wa Kijiji cha Maraa, Agustino Marcel (30) mkazi wa Kijiji cha Maraa, Inocent (16) Mkazi wa Maraa, Stephano Dahaye (18) Mkazi wa Maraa, Michael Faustine (25)Mkazi wa Maraa na Elias Leonce (18) naye mkazi wa Mara aliyefariki dunia akiwa hospitalini.
 
Aidha Kamanda Fuime aliwataja waliojeruhiwa katika ajali hiyo kuwa ni Godfrey Samwel (17), Daniel Yamee (17), Amani Rajabu (19), Isaya Joseph (25), Hemed Darabe (25), Inocent Ploti na Paulo Anjelus (16) wote wakazi wa Mara.
 
Hata hivyo, Kamanda Fuime alisema kuwa jeshi la polisi linaendelea na juhudi za kumtafuta dereva wa Fuso aliyekimbia baada ya kusababisha ajali hiyo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top