Mtanzania mmoja ambaye hajafahamika amekamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya.
Taarifa
zilizopatikana jana usiku na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la
Uingereza (BBC), zilieleza kuwa Mtanzania huyo anahojiwa kuwapo kwake
katika eneo hilo hasa ikizingatiwa kwamba siyo mwanafunzi wala mtumishi
katika chuo hicho.
Taarifa
hizo zinasema kuwa Mtanzania huyo ni miongoni mwa watu wanne waliokuwa
wamejificha katika mabweni ya chuo hicho na kati yao, wawili
walibainika kuwa ni wanafunzi.
Hata
hivyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba alipoulizwa jana
kuhusu Mtanzania huyo, alisema atatoa taarifa rasmi kwa taratibu za
jeshi hilo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >