Watu
10 wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha magari matatu katika eneo la
Mkata kijiji cha Mbweni wilayani Handeni Mkoani Tanga majira ya saa 5
asubuhi ya leo.
Akizungumza
na East Africa Radio Kamanda wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa
Tanga amesema kuwa ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ya abiria na gari
dogo katika barabara ya Dar es salaa kwenda Tanga na Arusha.
Kwa
mujibu wa Kamanda gari dogo ilikuwa likitaka kulipita lori lililokua
mbele yake na ndipo ilipogongana uso kwa uso na basi la Ratco lililokuwa
likitokea Tanga kwenda Dar es salaam.
Baada
ya Basi la Ratco kugonganana na gari dogo, lilipoteza mwelekeo na
kugongana tena uso kwa uso na basi la Ngolika lililokuwa likitokea Dar
es salaam kwenda Arusha.
Aidha
kamanda huyo amesema kuwa kati ya watu 10 waliofariki dunia wanaume
watano wakiwemo dereva wa gari dogo na dereva wa basi la Ngorika pamoja
na wanawake watano wakiwemo watoto wawili.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >