Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumatano iliyopita katika sherehe ya bethidei ya mtoto wa msanii mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’ iliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Lamada jijini Dar ambapo kulikuwa na vyakula na vinywaji vikali vya kila aina.
Nisha ambaye alikuwa amevalia kikaptula cha ‘jeans’ na kujistiri na mtandio, baada ya kukolea ulevi aliutupa mtandio na kuacha sehemu kubwa ya mwili wazi kisha kukata mauno kushindana na mademu mcharuko waliokuwa ukumbini hapo kiasi cha kuwapagawisha wanaume wakware ambao walimvaa na kutaka kucheza naye.
Davina akiwa na mwanaye.
“Duh yaani Nisha leo ametia aibu, si kawaida yake nahisi mitungi
imemzidi. Ameamua kujiachia kupitiliza, hebu mwangalie anavyokata mauno
watoto wanamuangalia, aibu hii,” alisikika mualikwa mmoja akimwambia
mwenzake.Hata hivyo, Davina alipoona baadhi ya waalikwa wanazidisha kusaula na kukatika, aliomba kipaza sauti na kuwataka wasifanye hivyo kwani sherehe ni ya mtoto.Sherehe hiyo ilihudhuriwa na mastaa kibao akiwemo Jeniffer Kyaka ‘Odama’, Mayasa Mrisho ‘Maya’, Mike Sangu, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na wengine wengi ambao baadhi yao walionekana wakiwa wamekolea kilevi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >