Habari Kali
Loading...

HAIJAWAHI KUTOKEA, MAPACHA 5 WAZALIWA MAREKANI!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Bi. Danielle Busby akifurahi kuwaona wanawe baada ya kujifungua mapacha watano wote wakiwa hai.
Wakunga wakiwatazama watoto waliozaliwa.
Mmoja kati ya watoto hao akiwa kwenye mtambo maalum wa kumsaidia kupumua kwakuwa watoto hao wamezaliwa kabla ya miezi tisa kutimia.
Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Danielle Busby amejifungua mapacha watano wote wakiwa ni jinsi ya kike katika hospitali moja ya wanawake mjini Texas nchini Marekani. Wauguzi katika hospitali hiyo wamesema kuwa, uzazi huo kutokana na mimba moja ni rekodi mpya ambayo haijawahi kutokea Marekani.
Danielle ambaye ndiye mama wa watoto hao ambao amewapa majina ya Olivia Marie, Ava Lane, Hazel Grace, Parker Kate na Riley Paige amesema kupata watoto hao wote wakiwa wazima kwake ni baraka ya hali ya juu. Inasemekana watoto wengi sawa na hao waliwahi kuzaliwa mara moja huko London Uingereza, mwaka 1969 katika hospitali ya Queen Charlotte.
Zaidi ya Madaktari na wauguzi 12 walilazimika kufanya kazi ya ziada ilikumsaidia Bi. Danielle kujifungua watoto hao ambao hawakuwa wametimiza umri wa miezi tisa tumboni kwa njia ya upasuaji.
Baba wa Danielle huyo, Adam Busby amewamiminia sifa kedede na kuwashukuru wahudumu wote wa hospitali hiyo waliofanikisha operesheni ya mwanaye hadi kujifungua watoto hao watano. Taarifa Zaidi zinasema kuwa, Bi. Busby alikuwa na tatizo la kupata ujauzito hivyo akatumia mbegu pandikizi ya uzazi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top