Habari Kali
Loading...

HAWA WAPENZI HAWAENDANI, LAKINI NDIYO HIVYO TENA!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Aunt Ezekiel na Moze Iyobo.
NImtazamo wa wengi kuwa baadhi ya mastaa ambao wapo kwenye uhusiano hawaendani kabisa kutokana na muonekano wao, tabia zao na hata fani zao kuwa tofauti.
Kuna mastaa wa Bongo na wa Mamtoni ambao mapenzi yao yalivyoanza yaliwashtua watu mbalimbali na wengine kudai hayafiki mbali huku wale wanaotazamiwa kuendana kwa kila kitu wakimwagana vibaya mfano, Diamond Platnumz na Wema Sepetu, Rihanna na Chris Brown na wengineo wengi.
AUNT EZEKIEL NA MOSE IYOBO
Aunt Ezekiel ambaye ni staa wa Bongo Muvi alidai ‘kudate’ na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, hiyo ilijulikana  mwishoni mwa mwaka jana baada ya Aunt Ezekiel kudai kuwa mimba hiyo ni ya dansa huyo. Uhusiano huo uliwashtua mashabiki wengi wa staa huyo ambapo mpaka sasa hawakubaliani na uhusiano huo wakidai kuwa kuna mtu nyuma ya Mose ambaye ndiye muhusika wa mimba ya Aunt kwa kigezo kuwa Mose hana jeuri ya pesa ya kuweza kumuweka Aunt mjini.

Nay wa Mitego akiwa na Shamsa Ford.
NAY WA MITEGO NA SHAMSA FORD
Huu ni moja tu ya mfano wa mapenzi yanayoendelea kutengeneza vichwa vya habari kwa sasa. Shamsa Ford ambaye ni staa wa filamu Bongo anatazamwa kama mtu mtaratibu, asiye na skendo wala majivuno huku Nay wa Mitego akitazamwa kama mtu mwenye majivuno, hasira na mkorofi. Mashabiki wa mastaa hao siyo kwamba wamepigwa na butwaa na uhusiano huo bali wanaendelea kuwafuatilia ili kujua nini kitatokea kwa kuwa wenyewe wanadai wana ‘projekti’ inayoendelea kati yao japo kuna picha wakiwa katika pozi za mahaba zinasema tofauti.

T.i na Tameka.
T.I NA TAMEKA
T.I ni rapa wa Marekani ambaye uhusiano wake na mkewe ulianza mwaka 2010 na hatimaye kuoana, uhusiano huo unatajwa kuwashangaza wengi kwa kuwa T.I anatazamwa kama mmoja wa marapa ‘handsome’ zaidi huku mkewe akipigwa vijembe kuwa ni mbaya. Lakini wenyewe hawajali hali hiyo na kuonesha mapenzi ya dhati ambapo mpaka sasa wana watoto wawili na siku zinasonga.

JAY-Z NA BEYONCE.
JAY-Z NA BEYONCE
Jay-Z ni rapa mwenye heshima kubwa nchini Marekani ambaye ni mume wa diva wa muziki wa Pop na R&B, Beyonce. Mwanzoni ilikuwa kama utani kuwa mtu kama Jay-Z angeingia kwenye uhusiano na Beyonce hadi kufikia kuoana.

Mitazamo ya watu kuwa Jay-Z ni mbaya kimuonekano na hawezi kuwa na mtoto mkali kama Beyonce ilikuwa ni chachu ya fikra hizo miongoni mwa watu. Mitazamo hiyo ikageuka vijembe ambavyo hata mastaa wenzake waliuzungumzia kiutani uhusiano wao, Lakini ndiyo hivyo tena, mapenzi ya Jay-Z na Beyonce kila siku yanazidi kwenda levo nyingine na kuonekana kama ‘kapo’ nzuri zaidi duniani kuizidi ile ya Kanye West na Kim Kardashian.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top