Facebook ndio habari ya mjini..., kila mtu yupo na kila msichana mzuri au mbaya, hata
yule wa kwenye ndoto zako anaitumia, na ni sehemu iliyo na wasichana
wengi zaidi waliounganisha na mtandao mmoja kuliko mtaani, mashuleni na
maofisini.
Na kizuri zaidi kupita yote hayo, hata kama uwe na aibu ya kutongoza kiasi gani, face buku huwezi kutetemeka hata ukucha, unachotakiwa kujua ni mpangilio kwanza ili uweze kuwavutia wasichana wa kila aina.
Na kizuri zaidi kupita yote hayo, hata kama uwe na aibu ya kutongoza kiasi gani, face buku huwezi kutetemeka hata ukucha, unachotakiwa kujua ni mpangilio kwanza ili uweze kuwavutia wasichana wa kila aina.
Facebook
ni msitu wa wasichana, kwa hio inakupasa kuwa na subira japo kuwa
unaham kubwa, angalia usije haribu na usimtongoze msichana papo hapo,
kinachotakiwa ni kufuata masharti kidogo na uwezo mkubwa wa kuangalia na
kutafakari...
- Safisha picha zako...
Futa
picha zako zote zile mbaya na ambazo haziitajiki, kwa mfano zile
ulizopiga baa na vimada tofauti tofauti, na sidhani kama ulitakiwa
uziweke intaneti kila mtu hazione!, hakikisha umetoa picha zote za
wanawake wakiwa watupu hata kama ulikua umezishea tu, maana zinaleta
muuonekano mbaya kihisia na zinamwonyesha msichana kwamba wewe sio mtu
mzuri wa
kuanzisha mahusiano naye, zifute na zile ambazo umejipiga mwenyewe, kwa
vyovyote vile hazikuonyeshi ukiwa mtanashati, hakikisha zimebaki za
kwako peke yako na hata kama za marafiki zisiwe na hisia zozote ambazo
zinaweza kumfanya msichana hahisi hujatulia.
- Tengeneza marafiki zaidi...
Ukiweza
kupata marafiki wengi zaidi, ndivyo utakavyo kuwa unaongeza wigo mpana
zaidi wa kumpata na kumchambua yule mwenye mvuto zaidi uliokua ukimwota
kwenye ndoto zako, kwa hio hakikisha unajiunga na marafiki wengi zaidi
uwezavyo, tafuta hata wale uliosoma nao zamani na jiunge kwenye magrupu
ya facebook ili upate marafiki zaidi.
- Marafiki wa marafiki...
Kama
ukiwa umeweza kujiunga na marafiki wengi, utakua na nafasi kubwa ya
kumchambua yupi unaemtaka, angalia komenti zote zinazopita pamoja na
picha mbali mbali zinazopita, ukimwona yule aliyekushika macho na hisia
kakomenti, hata kama kakomenti kwenye komenti ya rafiki yako, na wewe
komenti hapo hapo na hakikisha umeweka na komenti tata juu yake ili
apate sababu ya kukujibu wewe, na kama hajakomenti, tafuta rafiki
unayemjua aweze kukutambulisha kwake, muulize rafiki yako kiungwana
kwa
mfano... "Mambo, nimemwona msichana mrembo rafiki yako Angel, unaweza
kunitambulisha kwake?", hili swali lipo moja kwa moja na sidhani kama
anaweza kataa kukutambulisha.yeye atakachofanya ni kukusagesti urafiki
kwake ili atakapokuadd mkubalie urafiki na hapo ndipo unaanza swaga.
- Mtumie mwaliko wa kuwa marafiki...
Kwa
hio kama mmeweza kukomenti hapa na pale pamoja, sasa hivi atakua
ameshakujua, mtumie mwaliko wa kuwa marafiki, kuna asilimia kubwa sana
lazima akubali, na mkisha kuwa marafiki sasa unaweza kuanza kukomenti
kwenye maandiko yake na picha zake, pia mnaweza piga stori za hapa na
pale kwa kuchati, baada ya maendeleo kwenda vizuri na mazoea yamekua ya
kutosha, unaweza mwomba siku moja muweze kutoka wote mtoko!.
- Vuta subira na kuwa jasiri...
Iwapo
ikitokea asipokujibu, japo ni mara chache sana iwapo umefuata maelezo
vizuri, usije chukulia haraka na kukurupuka, usimuulize chochote kuhusu
hilo, endelea na stori, mpe muda na subiri tena wakati mwingine mwafaka
wa kumba mtoko tena.
Ili
kuongeza mafanikio unaweza fanya kwa msichana zaidi ya mmoja, maana
samaki ni wengi sana baharini na wavuvi pia ni wengi xo ni ushindani.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >