Habari Kali
Loading...

JIJI LA NAIROBI LAKANUSHA KUZIKA MAITI ZA GARISSA KABURI MOJA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Wafanyakazi wa shirika la kujitolea la Msalaba Mwekundu nchini Kenya wakipanga majeneza yenye miili ya marehemu wa shambulio la Garissa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya Chiromo jana.
HALMASHAURI ya jiji la Nairobi imekataa ripoti kwamba jana iliwazika wanafunzi waliouawa katika mashambulizi ya kigaidi kwenye Chuo Kikuu cha Garissa kiasi cha wiki mbili zilizopita, kwenye kaburi la pamoja.
Akizungumza katika ofisi za jiji hilo, Ofisa Uhusiano, Beryl Okudi, alisema serikali haina habari  kuwa miili ya watu hao ilikuwa inatolewa kwenye chumba cha maiti cha jiji hilo.
 “Hilo ni jukumu la serikali kuu.  Hakuna miili ya waliouawa Garissa iliyopelekwa kwenye chumba cha maiti cha halmashauri ja jiji hili.  Miili yote ilipelekwa chumba cha maiti huko Chiromo,” alisema Okundi.
Jana kulikuwa na habari kwamba magari ya Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) yalikuwa yanasomba maiti kuzipeleka kwenye Makaburi ya Lang’ata.
Hii ni baada ya picha mbalimbali kuhusu jambo hilo kuwekwa kwenye mitandao na watu kushangaa kwa nini miili hiyo ilikuwa inadhalilishwa.
CHANZO: THE STAR

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top