Kazi
kwelikweli! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amefunguka
kuwa kwa umri aliofikia mwanaye, Paula Paul wa miaka 14 ana kibarua
kigumu cha kuhakikisha anakuwa salama hasa kwenye suala la wanaume.
Mtoto wa Kajala Masanja ‘K’, Paula Paul.
Mtoto wa Kajala Masanja ‘K’, Paula Paul.
Akichezecha
taya na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Kajala alisema kuwa kwa
umri huo, Paula ambaye alizaa na Prodyuza wa Bongo Records, Paul
Matthysse ‘P Funky’ anahitaji uangalizi wa nguvu na kumsimamia kwa kila
jamabo ili kuwakwepa ‘mijitu mikware’ ambao wanaweza kumrubuni.
“Dunia ya sasa watu siyo wema kihivyo lakini naamini sitashindwa na Mungu anisimamie,” alisema Kajala.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >