Habari Kali
Loading...

KUWA MWANGALIFU NA MIWANI BAADHI YA MIWANI HUWEZA KUKULETEA MADAHARA MAKUBWA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mitaani kuna miwani ya aina nyingi inayouzwa lkienyeji na watu wengi wamekuwa wakiinunua na kuivaa kama urembo au kupunguza makali ya miale ya jua. Kuna wengine huvaa pia ili watu wasiwatambue.


Kiafya, miwani hii ambayo ina kioo cha kawaida na inauzwa mitaani, haina athari kubwa kwa mtumiaji. Mingine husaidia kupunguza miale ya jua.
Miwani ya hatari ni ile yenye kioo cha lenzi ambayo ukiivaa inabadili uono. Ukiivaa inaweza ikakifanya kitu unachoangalia kikawa karibu zaidi au kukiweka mbali zaidi kuliko uhalisia.

Nimeamua kuzungumzia suala hilo kwa sababu kuna watu wanaouza kienyeji miwani ya kusaidia wenye matatizo ya kuona kwa kuwaambia wafanye majaribio ya kuvaa hadi watakapopata miwani inayowasaidia kuona na kusoma.

Hivyo ni hatari kwa sababu unaweza kuathiri macho na kusababisha tatizo lake kuwa kubwa zaidi.
Wataalamu wa afya wanasema kuwa kila tatizo la macho lina hatua zake hivyo halina budi kufanyiwa marekebisho kwa miwani inayolingana na hali halisi ya kiwango cha kasoro ya uono kwa wakati huo.

Kaam una tatizo la kuona, kusoma au kuumia macho unapotazama mwanga, jaribu kwenda kwa mtaalamu wa macho ili akusaidie kuliko kuhatarisha macho yako kwa kubahatisha miwani mitaani.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top