Hii sio mbali sana, inatokea mtaa wa Old
Ngara, Kenya ambako kuna mzee mmoja ambae ameishi kwenye nyumba kwa
muda mrefu, hii rekodi sikuwahi kuisikia kwingine.
Mzee huyo Adam Mamuji
amesema ameishi kwenye nyumba hiyo tangu mwaka 1944 kabla nchi hiyo
haijapata uhuru, wakati huo alikuwa akiishi na wazazi wake ambao
walifariki.. kipindi hicho kodi ilikuwa shilingi 45 za Kenya.
Mzee Adam
amesema mwaka 1948 kodi ilipanda na kufikia shilingi 140, lakini kwa
sasa wanalipa shilingi elfu 10 za Kenya.. amesema hawezi kutafuta nyumba
nyingine tena kwa sababu ameishi kwa muda mrefu kwenye nyumba hiyo
ameiomba Serikali imuuzie.
Nimeamini hakuna watu watunzaji wa vitu kama wazee, huyu mzee ametoa mpaka risiti ya Kodi ya nyumba aliyolipia miaka ya 1940 !!
Hii story yote iko kwenye video hapa ambayo iliripotiwa na kituo cha K24 Kenya..
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >