Hali
ya taharuki imewapata wakazi wa kijiji cha Park Nyigoti kata ya ikoma
wilaya ya Serengeti baada ya mahakama kutoa ruhusa ya kufukuliwa kwa
mwili wa Bi. Celina Jumapili aliyefariki dunia na kuzikwa tarehe tatu
marchi kisha kuonekana utata katika kaburi lake ambalo leo limefukuliwa
na kukuta sehemu ya viungovya mwili wake vimekatwa vikiwemo kiganja
cha mguu vidole vya mkono wa kushoto na sehemu za siri zikiwa
zimenyofolewa hali iliyozua mashaka makubwa kwa wakazi wa kijiji
hicho.
Tulifika
katika kijiji cha Park Nyigoti wilayani Serengeti na kushuhudia zoezi
la kufukua kaburi likiendelea ambapo inadaiwa kuwa marehemu Celina
alifariki dunia tarehe mbili ya machi na kuzikwa tarehe tatu lakini
tarehe ishirini na mbili ndugu walikuta sehemu ndogo ya kaburi likiwa
limefukuliwa ndipo wakataka kuhakiki kuwa mwili wa ndungu yao upo au
umechukuliwa. baada ya kupata kibali cha mahakama wamefukua na kukuta
viungo hivyo vikiwa vimekatwa na watu wasiyo julikana.
Akielezea
namna tukio ilo lilivyo tokea mama wa marehemu Celina Bi Nyahende
Kwihamba amesema tukio hilo limewaweka katika mashaka makubwa kutokana
na kijiji hicho kushamiri kwa tabia ya ushirikina na kuiomba serikali
isaidie kumaliza tabia hiyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >