Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari
juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba
(DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni
damu halisi ya msanii huyo.
Hivi karibuni, Nay na Siwema ambao walikuwa wapenzi kisha kumwagana,
waligombana na kila mmoja kuzungumza lake juu ya mtoto wao huyo ambapo
Siwema alidai si damu ya Nay wakati msanii huyo alisema ni damu yake.
Licha ya kupokea majibu hayo mazuri kwake, Nay aliyachukua majibu
hayo kwa kuangua kilio cha furaha huku akieleza ya moyoni kuhusiana na
sakata hilo.
“Hili ni swala ambalo lilikuwa linaniumiza kichwa kila
kukicha. Unajua kama mwanaume, mtu akwambie mtoto si wako unadhani ni
maumivu kiasi gani utayapata? Inauma sana, mtu umelea kuanzia mimba hadi
mtoto amezaliwa, si kitu kidogo.
“Namshukuru Mungu kwa majibu kwamba ni damu yangu. Mashabiki wangu
watambue tu kwamba, Curtis ni mwanangu asilimia mia hivyo hakuna ubishi
tena.
“Ujue nampenda sana mwanangu na kwa bahati nzuri huyo ndiye
mwanangu wa kiume pekee, hivyo sikutaka kuruhusu wazo lolote kutoka kwa
mtu mwingine maana hata kama majibu yasingesema kama ni wangu nilikuwa
radhi kuishi naye na kumlea bila kujali hilo kwa sababu tu niliamini
siku zote ni mali yangu,” alisema Nay.
Nay aliingia kwenye utata huo takriban mwezi mmoja uliopita baada ya
kupishana kauli na Siwema ambaye alimfumania akiwa na mwanaume mwingine
nyumbani kwake, jijini Mwanza na kuamua kumchukua mtoto kisha kuishi
naye jijini Dar kwa msaada wa mama yake mzazi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >