HAMIDA HASSAN
KATIKA hali ya kustaajabisha, Mtangazaji wa Kipindi cha The Mboni Show kinachoruka katika Runinga ya TBC1, Mboni Masimba alipigwa na butwaa baada ya kuzawadiwa mbuzi aliyefungwa kanga kwenye sherehe ya Maulid.Tukio hilo la aina yake lilijiri juzikati nyumbani kwa mtangazaji huyo Masaki jijini Dar ambapo Mboni alipokuwa akimfanyia sherehe hiyo mwanaye, Prince Milan aliyekuwa akitimiza siku arobaini tangu kuzaliwa kwake.
Mbuzi
akiwa amevishwa Kanga na kupelekewa Mtangazaji wa Kipindi cha The Mboni
Show kinachoruka katika Runinga ya TBC1, Mboni Masimba.
Tofauti na ilivyozoeleka katika sherehe hiyo watu kupeana zawadi za
nguo na vifaa vya mtoto, mashosti zake akiwemo Jestina George, Hawa
Mkamba, Shamimu ‘Zeze’, Nargis Mohammed na wengineo, walimpa zawadi za
kawaida lakini MC Gladys Chiduo ‘Zipompapompa’ aliwashangaza watu kwa
kumpatia zawadi ya mbuzi aliyemfunga kanga kiunoni.“Mh! Hii leo mpya, tumezoea kwenye sherehe kama hizi watu tunatoa vifaa vya mtoto leo ameletwa mbuzi amefungwa kanga, leo kazi ipo,” alisikika mmoja wa wahudhuriaji wa sherehe hiyo.Zipompapompa alipoulizwa sababu za kuibuka kwenye sherehe hiyo na mbuzi aliyevishwa kanga, alifafanua hivi:
“Hii ni kanga mpya kabisa tumemfunga mbuzi kama mkaja, iwapo mbuzi atachinjwa mama mtoto atachukua kanga yake kama mama mzazi anapopewa mkaja wakati mwanaye anaolewa, mbuzi itakuwa ni supu kwa mzazi.”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >