Habari Kali
Loading...

MNAFANYA KAZI OFISI MOJA; NI SAHIHI MUME KUMPA MKE FEDHA ZA MATUMIZI? SOMA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
WAPENDWA wasomaji wetu, wiki iliyopita tulikuwa na mada ya Dear, Mpenzi maneno yasiyokuwa na maana tena! Naamini wengi wenu mliinjoi kwani mada ilijitosheleza. Nawashukuru sana wale walionipigia simu kunipongeza, lakini hata wale walionikosoa, nilichukua yale yaliyostahili.
Wiki hii hatuko mbali na familia, mada yetu inasema; mke, mume wanafanya kazi ofisi moja. Je, ni sahihi mume kumpa mkewe fadha za matumizi?
Twende pamoja...
Kwanza napenda ijulikane kwamba mwanamke kufanya kazi za kutoka nje ya nyumbani (mbali) si mpango wa Mungu. Mungu alipanga, mwanamke apelekewe kila kitu nyumbani.
Ndiyo maana katika adhabu ya bustanini kwa Adamu na Eva baada ya kula lile tunda la mti wa katikati ambalo lilikatazwa, Mungu alitoa adhabu ya kila mmoja.
ADHABU YA MUNGU
Mungu alisema kwa kuwa Eva alichuma tunda la mti wa uzima (katikati ya bustani) akala kwa ushawishi wa shetani, akachuma tena akampa mumewe naye akala, basi adhabu yake atazaa kwa uchungu. Kabla ya hapo, mwanamke alikuwa hazai kwa uchungu. Liko wazi sana!
Pia Mungu akamwambia Adamu kuwa, kwa vile alikubali kupokea lile tunda la mti wa katikati ya bustani kwa mkewe akalila, basi adhabu yake atakula kwa jasho lake.
NINI MAANA YAKE?
Mungu alimaanisha kwamba, kazi ya mwanamke itakuwa kuzaa, lakini kwa uchungu na kazi ya mwanaume itakuwa kutoka jasho sana (kufanya kazi) ili ailishe familia.
LAKINI SASA?
Lakini sasa katika maendeleo ya utaratibu wa kidunia, wanawake nao wamejikuta wakitoka majumbani kwenda kufanya kazi katika maeneo mbalimbali.Hali hiyo imesimamiwa na jamii kwa uhalali kwamba, mwanamke naye anafanya kazi kwa ajili ya kuisaidia familia kutokana na hali ngumu ya maisha.UTAFITI WA KAWAIDA
Nilifanya utafiti wa kawaida sana na kubaini kwamba, katika kila wanawake kumi wanaofanya kazi na kupokea mshahara, ni watatu tu ambao fedha zao zinazama katika shughuli za maendeleo ya kifamilia bila manung’uniko, wanaobaki humalizia katika matumizi binafsi kama kwenda saluni, kujinunulia mavazi kwa fasheni na kutengeneza kucha kila mara na kusaidia upande wa ukoo wake.
JE, KATIKA HILI?
Lakini mada yetu ya msingi ni juu ya mke na mume kufanya kazi ofisi moja, mume kumpa mke fedha za matumizi wakati wote wanapokea mshahara.Hatuwezi kuondoka kwenye msingi wa maisha ya mwanadamu tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Mume ni kichwa cha familia na wala mke si shingo kama inavyodaiwa, bali ni msaidizi.
Kama mtakuwa mnafanya kazi ofisi moja, mshahara mmoja au mke ana mshahara mkubwa, lakini kwa sababu mume ni kichwa, sehemu kubwa ya fedha ya kuiendesha familia itatoka kwenye mfuko wa mume lakini mchango wa mke utatakiwa kama msaidizi.
Si sawa hata kidogo, mshahara wote wa mke ukatumika binafsi, saluni, magauni ya kisasa, simu za skrini tachi, vipodozi halafu mume akaumia na ada za watoto, kodi ya nyumba, nguo za watoto na chakula cha ndani, si haki!
NYUMBA NYINGINE
Zipo nyumba nyingine zimejiwekea utaratibu kwamba, fedha ya mume ni ya kufanyia mambo makubwa kama vile ada, kodi ya nyumba au kununulia kiwanja na ujenzi wake, fedha za mke ni za kununua vitu kama sabuni zote, umeme, usafiri wa watoto shuleni na michango midogomidogo. Zinazobaki ndiyo matumizi yake ya saluni na mambo mengine.
Wengine wamepanga hivi; mshahara wa baba ni wa ada ya shule wa mama ni wa usafiri wa wanafunzi kwenda shule. Mshahara wa baba ni wa kodi ya nyumba, chakula wa mama ni wa kulipia vitu kama taka, maji, umeme, vinga’muzi nakadhalika. Zinazobaki wanagawana wote katika matumizi binafsi badala ya mume kumpa matumizi mke.
Kama wanandoa watakwenda kwa mtindo huu hata faida ya mke kufanya kazi, mume ataiona na kuithamini kama sivyo, mume atahisi kuelemewa na ubabe au mfumo dume hautaisha kwani majukumu yake yanatosha kabisa kumfanya aishi katika mfumo dume kwa kuwa hana usaidizi katika kuendesha familia.
Tukutane wiki ijayo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top