Staa
wa Bongo Movies, Moshi Katemi ‘Mo Music’, amesema anatamani
kumshirikisha staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’
katika muziki wake kwa kuwa anampenda.
Msanii
huyo aliyewahi kutamba na wimbo wa ‘Basi Nenda’, alisema ametokea
kumpenda mrembo huyo kutokana na umahiri wa kazi zake za filamu, maana
uwezo wake una tofauti kubwa na waigizaji wengine.
Mo Music aliongeza kwamba huwa ana kawaida ya kutazama filamu za wasanii mbalimbali, lakini za Lulu humvutia zaidi kiasi kwamba anatamani ashiriki kama ‘video queen’ katika muziki wake.
Mo Music aliongeza kwamba huwa ana kawaida ya kutazama filamu za wasanii mbalimbali, lakini za Lulu humvutia zaidi kiasi kwamba anatamani ashiriki kama ‘video queen’ katika muziki wake.
“Ninafuatilia
kazi za wasanii mbalimbali, ila kwa Lulu ni tofauti, natamani
nimshirikishe katika video za wimbo wangu mpya wa ‘Nitazoea’ kwa kuwa
naamini ana mvuto mkubwa,” alimaliza Mo Music.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >