Migogoro
kwenye ndoa wengine wanaona ni kawaida, wengine huwa inawachosha.. Ziko
story utasikia wanandoa wamepigana, wengine wanaachana.
Nimeipata hii stori toka India, Rekha Nagvanshi ni mwanamke ambaye ameonekana kuchoshwa na manyanyaso ya mume wake, kuna wakati waliachana.. baadae wakarudiana.
Baada
ya kurudiana makubaliano ilikuwa hivi, mume awe anahusika na majukumu
yote ya nyumbani yani kuanzia kufua nguo, kuosha vyombo.. kupika.
Wazazi waliingilia kati na kufanya makubaliano hayo yakavunjika, Rekha hakuridhika wazazi kuingilia kati masuala yao ya ndoa.
Rekha
alikutwa na mama mkwe wake akikojolea kwenye birika la chai
jikoni, rafiki yake anasema labda kwa vile alikasirishwa na wazazi hao
ndio maana akaamua alipize kisasi kwa kufanya hivyo.
Wazazi
hao wamesema walikuwa wanajua mkwe wao hawapendi lakini hawakufikiria
kama angeweza kuwafanyia kitendo hicho, walienda kutoa taarifa Polisi
lakini majibu ya Polisi waliwaambia hawashughulikii kesi za namna hiyo.
Mume wa mwanamke huyo ambaye anaitwa Deepak amesema yeye aliridhika na masharti ya mke wake waliporudiana lakini wazazi wake hawakupenda kuona anafanywa kama mtumwa.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >