Bwana Harusi Chrispine Mizengo Pinda akiingia ukumbini wakati wa
Sherehe ya ndoa yake na Bi.Adeline iliyofanyaka katika ukumbi wa JK Hall
viwanja vya Saba saba Jijini Da r es Salaam Jana.
Marafiki wa karibu wa Chrispine na Adeline waliowakilisha wanafunzi
wa chuo cha Diplomasia katika Hrusi hiyo wakifurahi Pamoja walipokuwa
katika sherehe hiyo wakiongozwa na Khadija,Hassan
,Zitta,Lulu,Diana,Kennedy,Ngamanya,Mwanakatwe na Glady
Hassan Abbas kutoka ofisi ya Rais Ikulu ambaye ni mkuu wa
mawasiliano wa BRN Tanzania akifurahia Jambo na Kennedy Ndosi wa Masma
Blog katika Harusi Hiyo
Binti huyu mwenye gauni la bluu Lulu Rodgers (katikati) ndiye
aliyedaiwa kumwaga chozi kwa furaha baada ya kuona wawili hao ambao ni
marafiki zake wakifunga ndoa takatifu jana kwani anasema walikuwa
wakitaniana sana kiasi kwamba anaamini ndoa yao itakuwa ya furaha na
amani sana..
Ikumbukwe kwamba Chrispine Mizengo Pinda na Adeline Ngugi wote
wamehitimu pamoja katika chuo cha kimataifa cha Diplomasia kilichopo
kurasini jijini Dar es Salaam amabapo walisoma Post Graduate in
Management of Foreign Relations.
Wadau wote wa PGD- MFR 2013/2014 chuo cha Diplomasia na Masama Blog
wanawatakia ndoa yenye furaha na amani katika maisha yenu yote
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >