Kuna wakati niliwahi kuhisi kwamba
huenda huku kwetu Afrika tunavunja rekodi nyingi sana ila hazipati
nafasi kusikika duniani kote kwa sababu nyingi, moja ni ishu ya kutokuwa
na utaratibu mzuri wa kuhifadhi kumbukumbu.
Jamii zetu zamani hazikuwa na utaratibu
mzuri wa utaratibu huo kwa vile vitu kama vyeti vya kuzaliwa havikuwepo,
wenzetu walikuwa na utaratibu mzuri miaka mingi iliyopita hivyo
waliweza hata kuitambua siku, tarehe na mwaka aliozaliwa Misao Okawa,
ambaye alikuwa kwenye kumbukumbu za Kitabu cha Guiness.
Rekodi zilizomuingiza Misao Okawa
kwenye kitabu hicho mwaka 2013 ni ile ya mtu mwenye umri mkubwa zaidi
duniani pamoja na rekodi ya mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi duniani.
Misao Okawa amefariki akiwa na umri wa miaka 117, kumbukumbu zinaonesha alizaliwa March 5 1898, ameacha watoto watatu na wajukuu wanne.
Wakati wa birthday yake mwaka huu
alisema siri ya kuishi muda mrefu ni ratiba yake ya kulala kwa saa nane
kila siku na kula sushi, chakula alichokipenda zaidi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >