KUFUATIA
serikali kushindwa kufuatilia na kutatua kero na matatizo yanayowasibu
madereva wa magari na pikipiki hapa nchini, Muungano wa Vyama cha
Madereva nchini umepanga kugoma kuingia barabarani kutoa huduma ya
usafirishaji nchi nzima ili kuishinikiza serikali kusikiliza na kutatua
kero zinazowasumbua kwa miaka mingi sasa.

Katibu
huyo wa Muungano wa Vyama vya Madereva ameitaja kero nyingine kuwa ni
hatua ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (National Institute of
Transport NIT) kutamka hadharani kuwa vyeti walivyonavyo madereva hao
sio halali na kwamba Ijumaa wiki hii wanakusudia kukutana na Waziri wa
Kazi na Ajira kwa ajili ya kuzungumzia kero hizo kwa lengo la kuepusha
kutokea kwa mgomo huo.
Bw.
Saleh ametaja madereva wanaounda muungano huo kuwa ni wa bodaboda,
bajaj, teksi, daladala, mabasi ya safari fupi, mabasi ya safari ndefu na
za nje ya nchi pamoja na madereva wa magari yote ya mizigo.
Kwa
mujibu wa kiongozi huyo wa Muungano wa Madereva nchini, mkutano wa
Ijumaa ndio utakaoamua iwapo madereva hao wagome au waendelee na kazi
kwani wamechoka kudharauliwa hata kwa mambo ya msingi yanayogusa maisha
yao.
Baadhi
ya dharau alizozitaja ni pamoja na wamiliki wa mabasi (yaani waajiri
wao) kuwaita wao ni wahuni ilhali ni watu wazima, wenye familia,
wanaofanya kazi halali na wanaohitaji kuheshimiwa.
Jambo lingine lililozungumzwa na umoja huo ni kuhusu Mamlaka ya Usafirishaji wa Majiini na Nchi kavu SUMATRA kushindwa kutangaza viwango vipya vya nauli kama ilivyoagizwa.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >