Ice Axe, aina ya shoka ambalo Gonzalo alimpigia mtoto huyo.
Tunaona
ndoa nyingi zinavunjika, kila mtu anaenda upande wake alafu maisha
yanandelea.. Mara nyingi waathirika wa matukio ya aina hii ni watoto,
hii ishu imetajwa mara nyingi pia kwamba inasababisha sana kuwepo kwa
ongezeko la watoto wa mitaani kila siku.Hii ni ya kusikitisha kidogo, mwanamke mmoja Mexico ambaye jina lake ni Karina Luna Sandoval hakuna na raha kwa kitendo cha kutelekezwa na mzazi mwenzake ambaye walizaa nae mtoto mmoja ambaye alikuwa tayari ana umri wa miaka 7.
Akampata mpenzi mwingine, Gonzalo del Rio Hernandez wakashauriana eti waandae zawadi ambayo watampa jamaa ambaye alimzalisha mwanamke huyo na kumtelekeza.. walivyoshauriana wakaona zawadi ambayo jamaa hatoisahau ni kumuua mtoto huyo.
Akampeleka mtoto huyo kwenye bustani akamwambia amsubiri baba yake anakuja, hiyo ilikuwa December 20 2015, akatokea Gonzalo na shoka dogo akaanza kumpiga mtoto huyo kwa lengo la kumuua.
Watu walisikia kelele za mtoto huyo akiwa analia, wakafanikiwa kuwakamata mwanamke huyo pamoja na mpenzi wake huyo ‘mpya’, Ambulance ikamchukua mtoto kumpeleka Hospitali, lakini kwa bahati mbaya wiki mbili baadae akafariki.
Karina na Gonzalo walikiri kufanya kosa hilo, hukumu iliyotolewa na Mahakama ni kifungo cha miaka 42 jela kwa Karina na mpenzi wake huyo amefungwa kifungo cha miaka 40.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >