Wote tunafahamu kuwa uhusiano wake na Zari the Bosslady unapigwa vita vikali na TeamWema! Well, Wema Sepetu alishawahi kusema kuwa hana kinyongo kwa Diamond lakini hiyo haimaanishi kuwa jeshi lake la watu zaidi ya 560,000 Instagram lina mtazamo huo pia! Team Wema haitakuja kuipenda couple yenye nguvu zaidi Afrika Mashariki ‘Zarimond’.
Hilo Diamond analijua pia na ndio maana jana aliamua kuitoa character yake ya ‘uswahili’ ‘ushari’ kwa kupost video akiwa chumbani kwake kwenye mjengo wake ambayo yeye anauita state house!
Kwenye video hiyo ambayo unasikika wimbo maarufu wa kihindi ‘Kuchi Kuchi’, anaonekana Zari akiwa kajilaza kitandani na gauni jekundu la kulalia. Kwenye video ya kwanza, Diamond anawaonya ‘haters’ kwa kuandika: ‘Crazy Us …Tafta kopo Ujiandae Kutapika maana Ndimu Zishakuzoea…. #StateHouseByNight.”
‘I am taking you straight to state house,’ anasikika Diamond akiongea kwenye video hiyo. ‘I see my beautiful baby she is right there.’
Katika video ya pili, staa huyo ameandika: Sasa si uniunfollow kama Nakukera.. hupendi halaf bado Umeng’ang’ania tu Kwenye Page yangu….Utaja kufa kwa Hasira bure #StateHouseByNight.”
Kwenye video ya tatu anaandika: Nimemuuliza “unanita” kasema Ndio!… nije? kasema “Njoo”… siju niiweke inayofata au??? #StateHouseByNight.”
Kama unavyoweza kufikiria, video hizo zimesababisha hasira kali upande wa upinzani ambao hadi muda huu wanaendelea kushambulia kwenye ukurasa wake kama nyuki waliochokozwa!
Video hii Hapa:
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >