Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja.
Imelda MtemaKUFUATIA mashabiki kumlaumu kwa kitendo chake cha kuhudhuria shoo ya Zari All White Party, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja amefunguka kwa ukali kuwataka watu kumuacha na maisha yake kwa sababu hayawahusu.
Akipiga stori na gazeti hili, Kajala alisema amekuwa mvumilivu kwa muda mrefu lakini kitendo cha watu kutaka kumpangia nini cha kufanya au wapi pa kwenda, kimevuka mipaka maana hawajui alipotoka wala anakokwenda.
“Watu wanazidi sasa, wanataka kunipangia wapi pa kwenda na wapi siyo pa kwenda, kwani kwenda kwa Zari kuna tatizo gani, kwa hiyo mtu akiwa na tofauti na Wema, kila mmoja lazima atofautiane na huyo mtu? hayo mambo ya wapi jamani, watu wasinipangie maisha ya kuishi,” alisema Kajala.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >