Mama anadaiwa kutupa kichanga hicho akijaribu kuangalia huku na kule kama kuna mtu anamuona alifahamika kwa jina la mama Janeth.
Mmoja wa mashuhuda akizungumza na gazeti hili, alisema kichanga hicho
kilikutwa na bibi anayejulikana kwa jina la mama Joyce katika shamba
lake lililopo eneo la Moa, Kimara-Suka baada ya kubanwa sana mama Janeth
alikiri kuwa ndiye mwenye kichanga hicho.Kufuatia kuulizana ndipo mwenye shamba akakumbuka kuwa mama Janeth alikuwa mjamzito na ilionekana alijifungua usiku, walipombana sana alikubali kukitupa kichanga hicho.
Ijumaa Wikienda lilizungumza na mmoja wa mashuhuda ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa mama huyo alipohojiwa alisema mwanaume aliyempa ujauzito aliukataa ndipo akaamua kufanya kitendo hicho.
Wananchi walifanikiwa kumtia mikononi mama Janeth na kumhoji ila wakiwa wanajianda kuwaita polisi, mwanamke huyo alichoropoka kiaina na kwenda kusikojulikana.
Baada ya polisi kufika eneo la tukio, mama Janeth alikuwa kishatoroka na polisi wakalazimika kuwachukua baadhi ya majirani kwa ajili ya mahojiano zaidi, huku mwili wa kichanga hicho ukipelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Tumbi, Kibaha.
“Wanawake mnapaswa kuwa makini sana katika suala la uhusiano kwani mnapokosea ndiyo chanzo cha kupata ujauzito na mwisho mnawatupa watoto wenu, ” alishauri shuhuda huyo ambaye hakupenda jina lake liwe wazi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >