Habari Kali
Loading...

Ofisa afya amwagiwa maharage ya moto !

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

OFISA Afya wa Kata ya Nyasubi wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Mkola Vedastus (27), amenusurika kifo baada ya kumwagiwa maharage ya moto yaliyokuwa jikoni.
 
Tukio hilo lilitokea juzi wilayani hapa baada ya ofisa huyo kumwagiwa maji hayo na shemeji yake, Anna Makula.
 
Akizungumza juzi akiwa Kituo cha Afya cha Igalilimi alipolazwa, Vedastus alisema alikutwa na mkasa huo jioni wakati anatoka bafuni akiwa amevaa taulo na ghafla shemeji yake alimmwagia maji hayo.
 
Alisema chanzo cha tukio hilo ni ugomvi wa ndani na shemeji yake ambaye wamepanga nyumba moja katika mtaa huo.
 
Akizungumzia tukio hilo, mmiliki wa Kituo cha Afya Igalilimi, Dk. Shija Luis, alisema hali ya mgonjwa huyo bado si nzuri.
 
“Majeraha ya mgonjwa ni makubwa, kwa kuwa hadi sasa tunahangaika kuona namna ya kuokoa maisha yake, majibu ya vipimo yatapatikana baada ya siku tatu lakini kwa sasa tumempatia huduma ikiwemo kumwongezea maji mwilini.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamgisha, alipoulizwa juu ya tukio hilo alisema bado halijafika ofisini kwake.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top