Habari Kali
Loading...

POLISI WAMHENYESHA BODABODA! WAMPA KIPIGO CHA MBWA MWIZI.. TAZAMA PICHA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Issa mnally BODABODA mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, mwanzoni mwa wiki hii alionja joto ya jiwe baada ya kuhenyeshwa na polisi kufuatia kitendo chake cha kukataa kutii sheria bila shuruti, alipotaka kusababisha ajali Barabara ya Chuo Kikuu, eneo la Mlimani City, jijini Dar.
Dereva bodaboda akidhibitiwa na polisi.
Shuhuda wa sakata hilo aliliambia gazeti hili kuwa, mwendesha bodaboda huyo aliyekuwa akitokea Mwenge kuelekea Chuo Kikuu, alisimama barabarani ili kuzungumza na abiria aliyemsimamisha ndipo askari wa Jeshi la Polisi wanaotembea na pikipiki, walimfuata na kuzungumza naye.
Dereva bodaboda akipambana na polisi.
“Polisi walimuuliza kwa nini amesimama barabarani kwani kitendo hicho kingeweza kusababisha ajali, walimtaka awape funguo kwa kile walichosema kitendo hicho ni ukiukwaji wa sheria, lakini bodaboda alikuja juu na kuanza kutaka kupambana na polisi,” alisema shuhuda huyo.
Inadaiwa kuwa baada ya polisi hao waliokuwa na silaha zao za moto, kuzozana kwa muda bila mafanikio na bodaboda huyo, walinzi wanaolinda lango la kuingilia Mlimani City waliungana na polisi kumtaka mwendesha pikipiki huyo kukubali kufuata sheria.
Wakimtia nguvuni.
“Baada ya kuona askari wa pikipiki na walinzi wamemzunguka mwenzao, bodaboda mwingine naye alisogea na pikipiki yake pale ili aweze kumsaidia, lakini naye akajikuta akiibwaga pasipo kufanikiwa kumnasua dereva huyo ambaye alikuwa jeuri,” alisema shuhuda mwingine.Askari hao walifanikiwa kumtaiti mwendesha bodaboda huyo na kwenda naye kituoni kwa maelezo zaidi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top