RAIS
Jakaya Kikwete jana alitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam
ambayo yameathirika na mafuriko kutokana na mvua inayoendelea kunyesha.
Ziara
hiyo ilianzia katika daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni
Kijichi katika Wilaya ya Temeke na kumalizia katika Daraja la Jangwani
katika Wilaya ya Ilala.
Rais
Kikwete baada ya kuona daraja linalotenganisha Mbagala Kuu na Mtoni
Kijichi, alitoa agizo kwa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ)
kuweka daraja la muda katika eneo hilo huku ujenzi ukiendelea.
Hata
hivyo Rais Kikwete alipotembelea katika Daraja la Jangwani aliwataka
wahandisi kutumia maarifa kuondoa taka zinazosababisha madaraja hayo
kuziba ili maji yaweze kupita kwa urahisi.
“Katika
eneo hili tuliwaambia watu wahame lakini walikataa sasa tutafanyaje.
Inabidi wahandisi mtumie maarifa ya kutoa taka zilizoziba katika
madaraja haya ili maji yasipite juu ya daraja bali yaweze kupita chini
kwa urahisi.
“Nimeanza ziara yangu ya kuangalia madhara yaliyotokana na mafuriko na nimeanzia katika eneo la Mbagala na Jangwani.
“Kesho
(leo) nitamalizia katika eneo la Mkwajuni na Tegeta na hapo ndipo
nitakapotoa hitimisho la athari za mafuriko Dar es Salaam,” alisema
Rais Kikwete.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema, alisema imepokelewa msaada wa Sh
bilioni 250 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kutengenenezea daraja
la Mbagala Kuu na barabara kwa kiwango cha lami.
Alisema daraja hilo pamoja na barabara vitatengenezwa kwa miezi mitatu hadi minne.
Naye
Mhandisi wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Eliseus Mtenga,
alisema itatafutwa mashine itakayotoa taka zote zilizoziba katika
daraja la Jangwani maji yaweze kupita kwa urahisi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >