Habari Kali
Loading...

SHAROBARO, HAUSIGELI WANASWA LIVE WAKINGONOKA! TAZAMA PICHA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Issa Mnally na Richard Bukos KIJANA mmoja mtanashati, aliyefahamika kwa jina la Faraja Adam mkazi wa Makongo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinusurika kipigo kutoka kwa wakazi wa Mabibo Jeshini baada ya kukutwa sebuleni kwa mpangaji wa nyumba moja aliyefahamika kwa jina la Rhobi Chacha.
Faraja Adam akiomba msamaha baada ya kunaswa.
Majirani wa mpangaji huyo waliliambia gazeti hili kwamba walimuona kijana huyo akiambaaambaaa na ukuta wa nyumba hiyo kisha kuingia ndani kwa kunyata, kitu kilichowapa shaka na kuamua kumpigia simu jirani yao kumweleza juu ya ujio wa kijana huyo.
...wakifungwa kamba pamoja na Jesca ambaye ni mfanya kazi wa ndani kwenye nyumba ya Rhobi.
Majibu waliyopewa na mpangaji huyo yaliwafanya majirani hao kujikusanya, wakiwemo walinzi wa kimasai wanaolinda maeneo hayo na alipofika Rhobi, ndipo walipoingia ndani na kupigwa na butwaa kumkuta ‘sharo’ huyo akiwa amejilaza kwenye kochi sebuleni, akiwa ameshikilia rimoti akiibonyezabonyeza kama yupo nyumbani kwao.
Alipoulizwa kilichompeleka hapo, alikosa cha kujibu, akionekana kuchanganyikiwa.


...kamba ikikazwa ili kupelekwa kituo cha polisi.
Baada ya kutishiwa kipigo cha kumwitia mwizi kwa kuingia kwa watu bila wenyewe kuwepo, aliomba aachwe kwa maelezo kuwa alimfuata dada wa kazi wa nyumba hiyo.
...wakipelekwa Kituo cha Polisi cha Urafiki.
“Jamani mimi nina ndugu zangu wakubwa sana serikalini, naomba msinifanye chochote kile, nimekuja kwa Jesca (house girl) kwani ni dadangu kabisa,” alijitetea kijana huyo.
...wakipelekwa kwenye Kituo cha Polisi.
Jesca baada ya kuulizwa uhusiano wake na kijana huyo alikosa cha kusema, lakini simu yake ya mkononi ilipopekuliwa, ilikutwa ikiwa na meseji alizokuwa akitumiana na kijana huyo, zilizoashiria mapenzi.
Baadaye wawili hao walidhibitiwa na kupelekwa kituo cha Polisi cha Urafiki ambako mzazi wa Faraja alipoitwa, alitaka mwanaye huyo alazwe rumande ili iwe fundisho kwake aachane na tabia hiyo.
Naye Rhobi, aliliambia gazeti hili kuwa tabia ya msichana wake huyo wa kazi imebadilika katika siku za hivi karibuni na kwamba mara kadhaa, amekuwa akikuta kitanda chake kikiwa kimevurugika tofauti na alivyokiacha.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top