Loredana
Chivu ni mwanamitindo nchini RomaniaBaba mmoja amejiua baada ya kuona
picha za uchi zamwanawe wa kike katika jarida la Playboy nchini Romania.
Loredana
Chivu alirarua ukurasa uliokuwa na picha yake akiwa 'amepos' katika
jarida hilo la Playboy na punde babake alipogundua kuhusu picha hizo,
alizongwa na mawazo na hata kumkana mwanawe.
Kwa
mujibu wa mtandao wa Mirror, msichana huyo mwenye umbo la kuvutia
alisema, '' babangu aliacha kuongea na mimi na kuonekana mwenye hasira
sana''.
"alipogundua kuwa picha hizo zilikua zangu, alijitenga sana na kujaribu kunitenga na mimi''.
Nilidhani
labda angesahau na sikudhani hata siku moja angejitoa uhai. Loredana
Chivu anasema anajuta sana kwani babake hakuwahi kuongea naye baada ya
kupata picha zake.
Mwanamitindo
huyo Loredana Chivu mwenye mamia ya picha akiwa nusu uchi kwenye
akaunti yake ya Instagram, alikuwa na uhusiano wa karibu sana na babake
lakini alisema yote hayo yalibadilika baada ya babake kuona picha zake
akiwa nusu uchi.
Alipokwenda
kumtembelea babake miezi michache baadaye, baada ya kuamua kwamba kimya
kilikuwa kimeendelea kwa muda mrefu sana, alishtuka sana kumpata babake
akiwa amejitoa uhai
"nilipata akiwa na kamba shingoni akiwa ananing'inia chumbani''.
Loredana,anayeishi nchini Romania, anasema kuwa tangu kifo cha babake, amekuwa akiwaza na kuwazua kwamba aliamua kujiua kwa sababu ya mgogoro kati yetu na hasa kuhusu picha zangu zilizoziona kwenye jarida la Playboy.
''Najuta sana kwamba hakuwahi kupata muda wa kuzungumza na babangu kuhusu yaliyotokea''.
''Hakuwacha ujumbe wowote kabla ya kujitoa uhai, siku zote tulikuwa na uhusiano mzuri lakini yote yalibadilika baada ya baba kuona picha zangu nikiwa uchi. Bado inaniuma sana na singemtakia mtu yeyote kupatwa na kama yaliyonikuta''.
-BBC SWAHILI
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >